Imewekwa kwenye: November 11th, 2021
Mkuu wa wilaya ya Mkalama Mhe.Sophia Kizigo amewapongeza wahitimu wa mafunzo ya jeshi la Akiba kwa kuhitimu mafunzo yao yaliyoanza August 9 mwaka huu huku akiwataka kuwa mfano wakuingwa na jamii kwaku...
Imewekwa kwenye: November 2nd, 2021
Imebainika kuwa Mkataba wa lishe umesaidia kupunguza udumavu Wilayani Mkalama kutoka 42% kwa takwimu za mwaka 2010 hadi 34% kwa takwimu za 2015 na kutoka 34% hadi 32% kwa mwaka...
Imewekwa kwenye: October 31st, 2021
Zao la pamba limetajwa kuwa moja ya mazao yenye thamani kubwa ambalo likilimwa kwa wingi Wilayani Mkalama linauwezo wa kuingizia Halmashauri kiasi Cha shilingi million 177.6 kwa msimu wa 2021/20...