Imewekwa kwenye: November 15th, 2017
Baraza la madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama limefanyika leo huku hoja mbalimbali zikiibuliwa na kupatiwa majibu.
Baraza hilo ambalo ni la kwanza kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018 liliipa kipa...
Imewekwa kwenye: September 29th, 2017
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Isack Kamwelwe ameuhakikishia uongozi wa Wilaya ya Mkalama kuwa kufikia mwaka 2020 tatizo la Maji litakuwa historia katika Wilaya hiyo.
Mhe. Kamwelwe ameyas...
Imewekwa kwenye: September 20th, 2017
Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) ni chombo kilichosaidia kwa kiasi kikubwa sana kukuza na kuboresha kiwango cha Elimu nchini kwa kuwezesha miundombinu inayozunguka sekta hiyo nyeti kabisa Ulimwen...