MAJUKUMU YA KITENGO CHA UGAVI NA MANUNUZI
Kutoa huduma za kitaalamu katika manunuzi, uhifadhi na ugavi kwa wizara.
Kushauri uongozi kuhusu masuala yanayohusu manunuzi ya bidhaa na huduma.
Kuhakikisha kuwa wizara inafanya manunuzi kwa kuzingatia sheria ya manunuzi na: 21 ya mwaka 2004.
Kufanya manunuzi, kutunza na kusimamia vifaa na huduma zilizonunuliwa.
Kuandaa mkakati wa manunuzi wa mwaka wa wizara.
Kuhakikisha kuwa vifaa na huduma zilizonunuliwa zinapatikana kwa wakati.
Kusaidia idara na vitengo vinapata huduma na vifaa vinavyolingana na thamani ya fedha iliyotumika.
Kuandaa taarifa na bajeti ya kitengo kwa mwaka.
OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA MKALAMA, 18 MASAKA RD, 43582
Anuani ya Posta: P.o. Box 1007
Simu ya Mezani: 026-2964005
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@mkalamadc.go.tz
Copyright ©2018 Mkalama DC . All rights reserved.