Imewekwa kwenye: February 28th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Mkalama, Mhe. Moses Machali amewataka wasimamizi na wakusanya mapato wote kuhakikisha wanakuwa waaminifu katika kazi yao na kudhibiti mianya yote ya upotevu na utoroshaji wa...
Imewekwa kwenye: February 24th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Mkalama, Mhe. Moses Machali amesisitiza suala la Lishe Shuleni ili Wanafunzi waweze kupata chakula kitakachowasaidia kupata muda mwingi wa kujisomea pia kudhibit...
Imewekwa kwenye: February 21st, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Peter Serukamba amesema kuwa Serikali imejipanga kutatua kero za Wananchi kwenye masuala ya Miundombinu ya barabara , maji , Afya , umeme na Elimu ili kuhakikisha mw...