Imewekwa kwenye: January 22nd, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Mkalama Mhe. Moses Machali amewataka Wenyeviti wa Vijiji wilayani hapa kufanya kazi kwa weledi pamoja na kuhakikisha wanahamasisha wazazi wenye watoto wenye sifa wanawapeleka shule.
...
Imewekwa kwenye: December 16th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Mkalama Mhe. Moses Machali ametoa rai kwa wakulima wilayani Mkalama kujisajili katika mfumo ili waweze kupata mbegu na mbolea za ruzuku
Kauli hiyo ameitoa Desemba 16, 2024 kat...
Imewekwa kwenye: October 30th, 2024
Katibu Tawala wilaya ya Mkalama Ndugu Peter Masindi amewataka watumishi wa Afya mkoani Singida kufanya kazi kwa bidii pamoja na kuweka mikikati endelevu itakayo saidia kupunguza vifo vya kina...