Imewekwa kwenye: August 1st, 2023
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama, Mhe. James Mkwega amewataka Madiwani kushirikiana pamoja kuijenga Kata ya Nduguti kwani ndio Makao Makuu ya Wilaya.
Ameyasema hayo...
Imewekwa kwenye: July 29th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Mkalama, Mhe. Moses Machali ametaka watumishi wapya waliopangiwa na Serikali Wilayani Mkalama kufanya kazi kwa bidii na kujiamini ili kumwakilisha vyema Rais wa Jamhuri ya ...
Imewekwa kwenye: July 25th, 2023
TUDUMISHE AMANI TULIYONAYO KWANI ILIGHARIMU UHAI WA MASHUJAA WETU' DAS MASINDI '
Katibu Tawala Wilaya ya Mkalama Peter Masindi leo( Julai 25 2023) ameongoza zoezi la usafi lilofanyika kati...