Imewekwa kwenye: October 25th, 2024
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa, leo Oktoba 24, 2024, amezindua mradi wa maji na Zahanati yenye thamani ya jumla ya shilingi milioni 436....
Imewekwa kwenye: October 7th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Mkalama Mhe. Moses Machali amewataka wananachi wilayani Mkalama kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika Daftari la Mpiga Kura ili wawe na sifa za kuchagua viongozi katika Uchaguzi ...
Imewekwa kwenye: September 20th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Mkalama Mhe. Moses Machali amewataka viongozi wa dini wilayani hapa kutumia vyema nafasi zao kuelemisha wananchi kuhusu kujitokeza kwa wingi kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa p...