Imewekwa kwenye: February 22nd, 2018
Jumla ya shillings milioni 250 zimepokelewa na Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama kwa ajili ya maendeleo zaidi ya Ujenzi wa Ofisi ya Halmashauri.
Kiasi hicho kilichopokelewa ni muendelezo wa fedha am...
Imewekwa kwenye: February 23rd, 2018
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwezi huu imefanikiwa kulipa madeni ya mishahara ya watumishi 34 wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama ambapo katika awamu hii ya kwanza Jumla ya fedha ...
Imewekwa kwenye: February 7th, 2018
“Jana Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama imepokea fedha kwa ajili ya kumalizia miundombinu yote ya Zahanati za Kidarafa, Milade na Nduguti hivyo muda si mrefu tutafungua Zahanati hizo na Wananchi wa mae...