Wilaya ya Mkalama hupata mvua ya wastani kati ya 520mm-850mm kwa mwaka; kwa kawaida mvua huanza kunyesha mwezi Novemba na huishia mwezi Mei. Kuna msimu moja tu wa mvua za masika na husialiwa na kipindi kifupi cha ukame kati ya mwezi Febuari na Machi, Joto huwa kati ya nyuzi joto 15°C Julai hadi 30°C Oktoba.
Uoto wa asili uliopo Mkalama ni kama ifuatavyo; ardhi ya Miombo, nyasi na miti ya na ardhi ya nyasi. Udongo ni mfinyanzi mwekundu (Nkulusi) wenye rutuba, lakini pia udongo wa mbuga, tifutifu and tifutifu kichanga.
Ili uweze kupata maelezo zaidi kuhusu idara hii bonyeza hapa
OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA MKALAMA, 18 MASAKA RD, 43582
Anuani ya Posta: P.o. Box 1007
Simu ya Mezani: 026-2964005
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@mkalamadc.go.tz
Copyright ©2018 Mkalama DC . All rights reserved.