Idara ya Fedha na Biashara ni moja kati ya idara zinazounda idara na vitengo 19 katika Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama. Idara ya Fedha na Biashara inafanya kazi zake katika maeneo makubwa 5; Fedha – Utawala, Fedha - Ufungaji wa Hesabu, Fedha - Matumizi, Fedha - Mapato na Fedha - Biashara na Masoko. Ili uweze kujua zaidi kuhusiana na idara hii tafadhali Bonyeza hapa
MKALAMA DISTRICT COUNCIL
Anuani ya Posta: P.o. Box 1007
Simu ya Mezani: 026-2964005
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@mkalamadc.go.tz
Copyright ©2018 Mkalama DC . All rights reserved.