UTANGULIZI.
Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama ina jumla ya shule 82 kati ya hizo shule 80 za serikali na 2 zisizo za serikali. Shule zenye kitengo cha elimu maalum ni 2 (shule ya msingi Ishenga na shule ya msingi Sophia), aidha, shule ya bweni ni 2 (Shule ya Msingi Munguli na Shule ya Msingi Darajani).Vituo vya MEMKWA vipo 7(Mwanga, Chemchem, Nkungi,Tatazi, Ilama, Ilangida na Nkenke) na MUKEJA vituo vipo 82 (kwa kila shule ya msingi ya serikali kuna MUKEJA).
Ili kupata maelezo ya kutosha kuhusu idara hii bofya hapa
MKALAMA DISTRICT COUNCIL
Anuani ya Posta: P.o. Box 1007
Simu ya Mezani: 026-2964005
Simu ya Mkononi: +255 758 954 045
Barua pepe: ded@mkalamadc.go.tz
Copyright ©2018 Mkalama DC . All rights reserved.