Imewekwa kwenye: April 20th, 2024
Mkuu wa wilaya ya Mkalama amefanya ziara ya kikazi katika vijiji vya Mkiko na Mpambala kata ya Mpambala wilayani Mkalama kwa ajili ya kusikiliza na kutatua kero mbalimbali zinazowakambili wananchi wa ...
Imewekwa kwenye: April 19th, 2024
Ziara ya Mkuu wa Wilaya ya Mkalama Mhe. Moses Machali inazidi kuzaa matunda kwa kusikiliza na kutatua kero mbalimbali Wilayani hapa zikiwemo migogoro ya Ardhi, Barabara, Maji, Elimu pamoja na...
Imewekwa kwenye: April 17th, 2024
Mkuu wa wilaya ya Mkalama Mhe.Moses Machali amempa muda wa wiki mbili Meneja wa RUWASA wilaya ya Mkalama kuhakikisha anafanya utafiti wa maji katika Kata ya Ibaga kijiji cha Ibaga yanayotajwa kuhatari...