KITENGO CHA SHERIA NA USALAMA
Kitengo cha usalama na sheria ni moja ya kitengo nyeti katika Halmashauri ya Mkalama ambacho kimekuwa kikifanya kazi mbalimbali kwa kufuata kanuni na sheria zilizowekwa kwa lengo la kutoa huduma bora kwa wananchi.
Mojawapo ya majukumu ya kitengo hiki ni Kutunga Sheria Ndogo za Halmashauri na kusimamia utekelezaji wake, kusimamia Kanuni za Kudumu za Halmashauri kama muongozo mkuu wa Vikao mbalimbali vya Halmashauri pamoja na Kumshauri Mkurugenzi na Halmashauri ya Mji dhidi ya mambo mbalimbali ya kisheria yanayohusu mahusiano ya ndani na nje ya Halmashauri, kama vile mikataba mbalimbali ya manunuzi, mikataba ya ajira pamoja na mikataba ya uwekezaji. Ili kuweza kupata taarifa zaidi kuhusu kitengo hiki tafadhali bonyeza hapa
MKALAMA DISTRICT COUNCIL
Anuani ya Posta: P.o. Box 1007
Simu ya Mezani: 026-2964005
Simu ya Mkononi: +255 758 954 045
Barua pepe: ded@mkalamadc.go.tz
Copyright ©2018 Mkalama DC . All rights reserved.