1.0 UTANGULIZI
Idara ya Ardhi na Mali Asili inajumuisha vitengo vya Ardhi, Upimaji na ramani, Uthamini, Mipango Miji, Misitu na Nyuki. Vilevile kwa kushirikiana na idara ya ujenzi, idara hii inashughulika na kutoa vibali vya ujenzi. Kwa maelezo zaidi tafadhali bonyeza hapa
MKALAMA DISTRICT COUNCIL
Anuani ya Posta: P.o. Box 1007
Simu ya Mezani: 026-2964005
Simu ya Mkononi: +255 758 954 045
Barua pepe: ded@mkalamadc.go.tz
Copyright ©2018 Mkalama DC . All rights reserved.