
Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama wamemchagua Mohamed Juma Hamis Diwani ya Kata ya Mwanga kuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama, huku Mariam Hussein Diwani viti Maalumu kutoka Tarafa ya Kinyangiri akichaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti.

Uchaguzi huo umefanyika rasmi leo, Desemba 2, 2025, katika Mkutano wa Kwanza wa Baraza la Madiwani uliofanyika katika Ukumbi wa Sheketela.
OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA MKALAMA, 18 MASAKA RD, 43582
Anuani ya Posta: P.o. Box 1007
Simu ya Mezani: 026-2964005
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@mkalamadc.go.tz
Copyright ©2018 Mkalama DC . All rights reserved.