Imewekwa kwenye: February 12th, 2025
Mbunge wa Iramba Mashariki Mhe. Francis Mtinga ametoa wito kwa vijana, wanawake na watu wenye ulevamavu wilayani Mkalama kutumia vizuri mikopo wanayopewa kwa kuwekeza katika biashara zenye tija ili wa...
Imewekwa kwenye: February 5th, 2025
Jamii imetakiwa kuendelea kupokea miradi inayotolewa na serikali na kuunga mkono juhudi hizo kwakujitoa nguvu kazi zao katika kusaidia miradi hiyo kukamilika kwa wakati na kuleta tija katika jamii.
...
Imewekwa kwenye: January 22nd, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Mkalama Mhe. Moses Machali amewataka Wenyeviti wa Vijiji wilayani hapa kufanya kazi kwa weledi pamoja na kuhakikisha wanahamasisha wazazi wenye watoto wenye sifa wanawapeleka shule.
...