Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama, Ndugu Seleman Musunga, leo tarehe 17 Februari, 2026 amewakabidhi Vishikwambi (Tablets) Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti pamoja na Madiwani wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama.Makabidhiano hayo yamefanyika katika Ukumbi wa Sheketela, yakilenga kuongeza ufanisi katika utendaji wa kazi na kuimarisha matumizi ya TEHAMA katika shughuli za Halmashauri.
OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA MKALAMA, 18 MASAKA RD, 43582
Anuani ya Posta: P.o. Box 1007
Simu ya Mezani: 026-2964005
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@mkalamadc.go.tz
Copyright ©2018 Mkalama DC . All rights reserved.