Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Gerald Mweli akiongoza kikao cha Wataalamu kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais, Wizara ya Maji na Wakurugenzi wa Halmashauri za Magu, Nzega, Mkalama na Kondoa wanaotekeleza Mradi wa kurejesha ardhi iliyoharibika na Kuongeza Usalama wa Chakula katika maeneo kame, mradi unaosimamiwa na Ofisi ya Makamu wa Rais.
Wa pili kulia ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Nadhifa Kemikimba akifuatiwa na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Mohammed Khamis Abdullah. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mazingira Dkt. Andrew Komba. Hafla hiyo imefanyika katika Ofisi ya Makamu wa Rais, Dodoma.
MKALAMA DISTRICT COUNCIL
Anuani ya Posta: P.o. Box 1007
Simu ya Mezani: 026-2964005
Simu ya Mkononi: +255 758 954 045
Barua pepe: ded@mkalamadc.go.tz
Copyright ©2018 Mkalama DC . All rights reserved.