Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama anapenda kuwakaribisha Wananchi wote na Wadau wa Kilimo wilayani mkalama kwenye tukio la Ufunguzi wa Msimu wa Kilimo 2021/2022 Wilaya ya Mkalama Utakaofanyika tarehe 20/10/2021 katika Ukumbi wa Sheketela uliopo katika Halmashauri ya wilaya ya Makalama kuanzia saa 4:00 Asubuhi.
"Nyote mnakaribishwa"
MKALAMA DISTRICT COUNCIL
Anuani ya Posta: P.o. Box 1007
Simu ya Mezani: 026-2964005
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@mkalamadc.go.tz
Copyright ©2018 Mkalama DC . All rights reserved.