• Wasiliana nasi
    • Maswali
    • Barua Pepe
    • Malalamiko
Mkalama District Council
Mkalama District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo
      • Usimamizi wa Mazingira
      • Biashara na Fedha
      • Afya
      • Ardhi na Mipango ya Mji
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Miundombinu
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Kisheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi, Ugavi & Vifaa
      • TASAF
      • Biashara
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Kilimo
    • Mfumo wa Taarifa za Shule Tanzania
    • Uvuvi
    • Sekta ya Huduma
    • Ardhi iliyotengwa kwaajili ya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya kwanza
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Utawala na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
      • mwongozo kutoka Tamisemi
      • uongozi ngazi ya vijiji
      • vibali vya ujenzi
      • mfumo wa anwani za makazi
    • Ripoti
      • Taarifa ya CAG 2018
    • Sheria
      • sheria ya fedha
    • mkataba
    • Fomu za Maombi kwa Wateja
      • Leseni ya biashara
      • maombi ya kiwanja
      • leseni za vileo
    • Sera
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
      • Pongezi
      • Matokeo ya Uchaguzi Kinampundu
      • KURUDISHWA KAZINI
      • Juma la elimu
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

MKUU WA WILAYA YA MKALAMA AONGOZA BARAZA LA BIASHARA

Imewekwa kwenye: December 22nd, 2025

Mwenyekiti wa TCCIA Wilaya ya Mkalama, Bw. Milangton Musa Gunda, leo Desemba 22, 2025, ameongoza kikao cha Kamati ya Wilaya ya Mkalama, Kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano uliupo Ofisi ya Mkuu Wa Wilaya.


Katika kikao hicho wajumbe wamejadili fursa mbalimbali za kiuchumi zitakazonufaisha wananchi wa Mkalama na maeneo ya jirani.


Miongoni mwa Fursa hizo ni pamoja na mradi wa uchakataji wa madini ya shaba ( copper) unaofanywa na muwekezaji , Tembo Mining and Resources, katika kijiji cha Ilongo.


Aidha kikao kimejadili mradi wa uzalishaji kokoto unaotarajiwa kutekelezwa katika kijiji cha Ishenga, ambako kuna miamba mingi ya granite inayofaa kwa uzalishaji huo. Mradi huo ukikamilika unatarajiwa kuzalisha tani 20 za kokoto kwa saa 1.


Vilevile wajumbe walijadili fursa ya kilimo cha mkonge, ambalo ni zao lenye faida mara mbili kwani linaweza kulimwa kwa mfumo wa mseto bila kuathiri uzalishaji wake.


Kwa upande wake  Mwenyekiti wa TCCIA Mkalama Akizungumza wakati wa kikao, Bw. Gunda alisema kuwa mambo yote yaliyojadiliwa ni ya manufaa makubwa kwa Wilaya ya Mkalama, akisisitiza kuwa wilaya ina fursa nyingi za kiuchumi, ikiwemo uwepo wa madini kama shaba (copper). Aliwashauri wananchi kuchangamkia fursa hizo kwa kuwekeza vizuri ili kuleta maendeleo endelevu.

Aidha, alisisitiza umuhimu wa kuweka utaratibu rasmi wa kuwatambua na kuwasajili wachimbaji wadogo wadogo wa madini, ili shughuli zao ziwe halali, salama na zenye tija kwa wananchi na wilaya kwa ujumla.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI KUANZIA TAREHE 09-10-2024 HADI 14-10-2024 October 03, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI KUANZIA TAREHE 09-10-2024 HADI 14-10-2024 October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MAFUNZO KWA WAGANGA WAFAWIDHI NA WALIMU KUHUSU MAGOJWA YASIYOPEWA KIPAUMBELE

    February 02, 2026
  • DC MACHALI AUNGANISHA WADAU WA ELIMU KUIMARISHA MAHUDHURIO YA WANAFUNZI

    January 27, 2026
  • ZIARA YA MAAFISA WA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI WILAYANI MKALAMA

    January 20, 2026
  • ZIARA YA NAIBU WAZIRI TAMISEMI WILAYANI MKALAMA

    January 04, 2026
  • Tazama Zote

Video

Taarifa ya fainali kati ya Kisuluiga na Nkungi
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • eMrejesho -Tuma Malalamiko, Maoni au Pongezi
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja

Viungo vinavyohusiana

  • Utumishi
  • Tovuti ya Ikulu
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA MKALAMA, 18 MASAKA RD, 43582

    Anuani ya Posta: P.o. Box 1007

    Simu ya Mezani: 026-2964005

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@mkalamadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 Mkalama DC . All rights reserved.