Ziara ya Kikazi ya Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) anayeshughulikia Elimu, Mhe. Reuben Kwagilwa (Mb), Januari 4, 2026 Wilayani Mkalama

Katika ziara hio ametembelea na kukagua ujenzi wa shule mpya ya Msingi katika shule ya Sekondari Grace Mesaki iliyopo Singa pamoja na ujenzi wa daraja la mawe la upinde lenye urefu wa mita lililopo katika barabara ya Milade-Kaselya

OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA MKALAMA, 18 MASAKA RD, 43582
Anuani ya Posta: P.o. Box 1007
Simu ya Mezani: 026-2964005
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@mkalamadc.go.tz
Copyright ©2018 Mkalama DC . All rights reserved.