• Wasiliana nasi
    • Maswali
    • Barua Pepe
    • Malalamiko
Mkalama District Council
Mkalama District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo
      • Usimamizi wa Mazingira
      • Biashara na Fedha
      • Afya
      • Ardhi na Mipango ya Mji
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Miundombinu
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Kisheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi, Ugavi & Vifaa
      • TASAF
      • Biashara
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Kilimo
    • Mfumo wa Taarifa za Shule Tanzania
    • Uvuvi
    • Sekta ya Huduma
    • Ardhi iliyotengwa kwaajili ya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya kwanza
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Utawala na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
      • mwongozo kutoka Tamisemi
      • uongozi ngazi ya vijiji
      • vibali vya ujenzi
      • mfumo wa anwani za makazi
    • Ripoti
      • Taarifa ya CAG 2018
    • Sheria
      • sheria ya fedha
    • mkataba
    • Fomu za Maombi kwa Wateja
      • Leseni ya biashara
      • maombi ya kiwanja
      • leseni za vileo
    • Sera
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
      • Pongezi
      • Matokeo ya Uchaguzi Kinampundu
      • KURUDISHWA KAZINI
      • Juma la elimu
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

MKUU WA WILAYA ASISITIZA UMUHIMU WA USHIRIKIANO

Imewekwa kwenye: December 10th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Mkalama, Mhe. Moses Machali, ametoa wito kwa watumishi wa serikali na wadau mbalimbali kuongeza ushirikiano katika kutekeleza shughuli za maendeleo wilayani Mkalama. Ametoa wito huo wakati wa Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Wilaya ya Mkalama (DCC)  kilichofanyika Desemba 10, 2025 katika ukumbi wa Sheketela uliopo Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama. Katika hotuba yake, Mkuu wa Wilaya amempongeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama pamoja na menejimenti yake kwa kusimamia kwa ufanisi miradi ya maendeleo na kuhakikisha mapato ya Halmashauri yanasimamiwa ipasavyo.



Aidha, wadau waliohudhuria kikao hicho—wakiwemo viongozi wa dini, wawakilishi wa vyama vya siasa na wadau wa sekta binafsi—wameupongeza uongozi wa Wilaya ya Mkalama kwa kuendelea kudumisha amani na kusimamia vyema utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Kikao hicho kilihudhuriwa pia na wadau mbalimbali kutoka taasisi za serikali na zisizo za serikali, viongozi wa vyama vya siasa, sekta binafsi pamoja na viongozi wa dini.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI KUANZIA TAREHE 09-10-2024 HADI 14-10-2024 October 03, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI KUANZIA TAREHE 09-10-2024 HADI 14-10-2024 October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MAFUNZO KWA WAGANGA WAFAWIDHI NA WALIMU KUHUSU MAGOJWA YASIYOPEWA KIPAUMBELE

    February 02, 2026
  • DC MACHALI AUNGANISHA WADAU WA ELIMU KUIMARISHA MAHUDHURIO YA WANAFUNZI

    January 27, 2026
  • ZIARA YA MAAFISA WA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI WILAYANI MKALAMA

    January 20, 2026
  • ZIARA YA NAIBU WAZIRI TAMISEMI WILAYANI MKALAMA

    January 04, 2026
  • Tazama Zote

Video

Taarifa ya fainali kati ya Kisuluiga na Nkungi
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • eMrejesho -Tuma Malalamiko, Maoni au Pongezi
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja

Viungo vinavyohusiana

  • Utumishi
  • Tovuti ya Ikulu
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA MKALAMA, 18 MASAKA RD, 43582

    Anuani ya Posta: P.o. Box 1007

    Simu ya Mezani: 026-2964005

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@mkalamadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 Mkalama DC . All rights reserved.