Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama ilianzishwa mwaka 2013, tangu wakati huo ofisi ya za Halmashauri zilifunguliwa katika nyumba ya kupanga. Kutokana na uhitaji mkubwa wa kuwa na ofisi za Halmashauri Serikali ilitoa fedha kwa ajili ya kugharamia shughuli za ujenzi wa jengo la ofisi la Halmashauri. Hivyo Ujenzi wa jengo jipya la halmashauri umeanza tangu mwaka 2016 na unatarajiwa kumalizika Mei 2017.
Jengo hili linajengwa kwa awamu mbili ambapo awamu ya kwanza itakamilika mei 2017 na awamu ya pili itaangza.
OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA MKALAMA, 18 MASAKA RD, 43582
Anuani ya Posta: P.o. Box 1007
Simu ya Mezani: 026-2964005
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@mkalamadc.go.tz
Copyright ©2018 Mkalama DC . All rights reserved.