• Wasiliana nasi
    • Maswali
    • Barua Pepe
    • Malalamiko
Mkalama District Council
Mkalama District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo
      • Usimamizi wa Mazingira
      • Biashara na Fedha
      • Afya
      • Ardhi na Mipango ya Mji
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Miundombinu
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Kisheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi, Ugavi & Vifaa
      • TASAF
      • Biashara
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Kilimo
    • Mfumo wa Taarifa za Shule Tanzania
    • Uvuvi
    • Sekta ya Huduma
    • Ardhi iliyotengwa kwaajili ya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya kwanza
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Utawala na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
      • mwongozo kutoka Tamisemi
      • uongozi ngazi ya vijiji
      • vibali vya ujenzi
      • mfumo wa anwani za makazi
    • Ripoti
      • Taarifa ya CAG 2018
    • Sheria
      • sheria ya fedha
    • mkataba
    • Fomu za Maombi kwa Wateja
      • Leseni ya biashara
      • maombi ya kiwanja
      • leseni za vileo
    • Sera
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
      • Pongezi
      • Matokeo ya Uchaguzi Kinampundu
      • KURUDISHWA KAZINI
      • Juma la elimu
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

ZIARA YA KAMATI YA FEDHA WILAYANI MKALAMA

Imewekwa kwenye: March 26th, 2024

Kamati ya Fedha, Mipango na Utalawa ikiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Mkalama. Mhe. James Mkwega pamoja na Mkurugenzi Mtendaji Bi.Asia Messos , imefanya ziara ya siku mbili kuanzia Machi 25-26,2024 kwa kutembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali wilayani Mkalama.

Akizungumza kwa niaba ya Mwenyekiti wa Halmashauri, Mhe Emmanuel Kabea ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri amemshukuru Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa nzuri anayoifanya ya kuleta maendeleo kwa wananchi pamoja na usimamizi mzuri unaofanywa na uongozi wa Halmashauri wa kusimamia miradi inayotekelezwa na serikali wilayani Mkalama.

“Tunamshukuru sana Rais wetu Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa anaoifanya lakini pia tunaishukuru Halmashauri na usimamizi wa Mwenyekiti wetu Mhe. James Mkwega kazi zinaenda vizuri,ushirikiano wake na Mkurugenzi pia ushirikiano wake na waheshimiwa madiwani”, Mhe. Emmanuel Kabea

Aidha Mhe. Emmanuel Kabea ametoa pongezi kwa Mkuu wa wilaya ya Mkalama Mhe. Moses Machali kwa usimamizi mzuri wa miradi pamoja na Mbunge Mhe. Isack Mtinga katika kupigania maendeleo wilayani Mkalama

“Tunamshukuru Mbunge Isack Mtinga kwa kazi kubwa anayoifanya, Tunamshukuru pia Mhe. Moses Machali kwa kazi kubwa anaoifanya ya usimamizi kuhakikisha miradi hii inakamilika kwa wakati. Na kipekee tunawapongeza na kuwashukuru wakuu wote wa idara” Mhe. Emmanuel Kabea



Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI KUANZIA TAREHE 09-10-2024 HADI 14-10-2024 October 03, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI KUANZIA TAREHE 09-10-2024 HADI 14-10-2024 October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATUMISHI WA AFYA MKALAMA WAHIMIZWA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI

    April 24, 2025
  • WANAWAKE MKALAMA WAHIMIZWA KUGOMBEA NAFASI ZA UONGOZI

    March 06, 2025
  • DC MACHALI ATOA WITO WATU WA AFYA MKALAMA KUFANYA KAZI KWA BIDII

    February 19, 2025
  • SEMINA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU WILAYANI MKALAMA

    February 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

Taarifa ya fainali kati ya Kisuluiga na Nkungi
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • eMrejesho -Tuma Malalamiko, Maoni au Pongezi
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja

Viungo vinavyohusiana

  • Utumishi
  • Tovuti ya Ikulu
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA MKALAMA, 18 MASAKA RD, 43582

    Anuani ya Posta: P.o. Box 1007

    Simu ya Mezani: 026-2964005

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@mkalamadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 Mkalama DC . All rights reserved.