• Wasiliana nasi
    • Maswali
    • Barua Pepe
    • Malalamiko
Mkalama District Council
Mkalama District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo
      • Usimamizi wa Mazingira
      • Biashara na Fedha
      • Afya
      • Ardhi na Mipango ya Mji
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Miundombinu
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Kisheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi, Ugavi & Vifaa
      • TASAF
      • Biashara
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Kilimo
    • Mfumo wa Taarifa za Shule Tanzania
    • Uvuvi
    • Sekta ya Huduma
    • Ardhi iliyotengwa kwaajili ya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya kwanza
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Utawala na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
      • mwongozo kutoka Tamisemi
      • uongozi ngazi ya vijiji
      • vibali vya ujenzi
      • mfumo wa anwani za makazi
    • Ripoti
      • Taarifa ya CAG 2018
    • Sheria
      • sheria ya fedha
    • mkataba
    • Fomu za Maombi kwa Wateja
      • Leseni ya biashara
      • maombi ya kiwanja
      • leseni za vileo
    • Sera
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
      • Pongezi
      • Matokeo ya Uchaguzi Kinampundu
      • KURUDISHWA KAZINI
      • Juma la elimu
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Toeni taarifa mnapowaona watu mnaowatilia mashaka

Imewekwa kwenye: January 28th, 2022

MKUU wa Mkoa Singida Dk. Binilith Mahenge amelaani na kukemea vitendo vya wizi na mauaji Kwa waendesha Bodaboda ambayo Wamekuwa wakifanyiwa na mwisho kuporwa pikipiki zao na watu wasiojulikana.


Rc Mahenge amesema hayo jana wakati akitoa pole kwa wafiwa wa Iddi Hassan (25) mkazi wa Iguguno wilayani Mkalama mwendesha bodaboda ambaye aliuawa kwa chomwa na kitu chenye ncha kali mgongoni na tumboni na mtu asiyejulikana ambaye alimkodi.


Aidha Rc Mahenge  amewataka wananchi wa wilaya ya Mkalama na Mkoa Kwa ujumla  kuchukua tahadhari kwa watu wasiowafahamu wanaofika kwenye maaeneo yao na kuwatilia mashaka kuchukua tahadhari ya kujilinda na kutoa taarifa Kwa vyombo  vya ulinzi.


Akitolea mfano moja ya tukio lililotokea hivi karibuni Kata ya Nduguti wilayani hapa  ambapo mtu mmoja aliyejitambusha kuwa amefika katika kata ya Nduguti  kama muajiriwa wa Jeshi la Polisi ambaye alipanga katika nyumba moja ya kulala wageni akiwa na mwanamke aliyedai ni mke wake.


Amesema mtu huyu alikuwa akimtumia mwendesha bodaboda mmoja kumpeleka maeneo tofautitofauti na baada ya kuona amekwisha mzoea wakati wakinywa chai alimwambie amuachie pikipiki yake ili aende kuripoti kituo cha polisi kuhusu kuanza kazi ambapo alimruhusu kuondoka na pikipiki yake na kutokomea nayo kusikojulikana na walipoenda nyumba ya kulala wageni walimkuta na huyo mwanamke aliyedai ni mke wake amekwisha ondoka.


Hata hivyo Dkt. Mahenge amesema kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vitahakikisha watu wote waliofanya tukio hilo watakamatwa na kufikishwa kwenye mkono wa sheria.


Mwenyekiti wa Kitongoji cha Ikulu ambacho alikuwa akiishi kijana huyo Christina Lema amesema wamesikitishwa sana na tukio hilo kwani marehemu alikuwa hana ugomvi na mtu yeyote na alikuwa akishirikiana na waendesha bodaboda wenzake kwenye shughuli zao.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI KUANZIA TAREHE 09-10-2024 HADI 14-10-2024 October 03, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI KUANZIA TAREHE 09-10-2024 HADI 14-10-2024 October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATUMISHI WA AFYA MKALAMA WAHIMIZWA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI

    April 24, 2025
  • WANAWAKE MKALAMA WAHIMIZWA KUGOMBEA NAFASI ZA UONGOZI

    March 06, 2025
  • DC MACHALI ATOA WITO WATU WA AFYA MKALAMA KUFANYA KAZI KWA BIDII

    February 19, 2025
  • SEMINA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU WILAYANI MKALAMA

    February 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

Taarifa ya fainali kati ya Kisuluiga na Nkungi
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • eMrejesho -Tuma Malalamiko, Maoni au Pongezi
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja

Viungo vinavyohusiana

  • Utumishi
  • Tovuti ya Ikulu
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA MKALAMA, 18 MASAKA RD, 43582

    Anuani ya Posta: P.o. Box 1007

    Simu ya Mezani: 026-2964005

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@mkalamadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 Mkalama DC . All rights reserved.