• Wasiliana nasi
    • Maswali
    • Barua Pepe
    • Malalamiko
Mkalama District Council
Mkalama District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo
      • Usimamizi wa Mazingira
      • Biashara na Fedha
      • Afya
      • Ardhi na Mipango ya Mji
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Miundombinu
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Kisheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi, Ugavi & Vifaa
      • TASAF
      • Biashara
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Kilimo
    • Mfumo wa Taarifa za Shule Tanzania
    • Uvuvi
    • Sekta ya Huduma
    • Ardhi iliyotengwa kwaajili ya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya kwanza
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Utawala na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
      • mwongozo kutoka Tamisemi
      • uongozi ngazi ya vijiji
      • vibali vya ujenzi
      • mfumo wa anwani za makazi
    • Ripoti
      • Taarifa ya CAG 2018
    • Sheria
      • sheria ya fedha
    • mkataba
    • Fomu za Maombi kwa Wateja
      • Leseni ya biashara
      • maombi ya kiwanja
      • leseni za vileo
    • Sera
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
      • Pongezi
      • Matokeo ya Uchaguzi Kinampundu
      • KURUDISHWA KAZINI
      • Juma la elimu
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Takwimu ya wananchi waliopata chanjo kwa Mkoa wa Singida imeongezeka kwa kasi

Imewekwa kwenye: October 6th, 2021

Takwimu za wananchi wanapata chanjo ya Uviko19 Mkoani Singida zimeendelea kuongezeka kwa Kasi kufuatia jitihada za utolewaji wa elimu na ushawishi kwa jamii kwa njia ya  nyumba kwa nyumba kuongezeka.


Akiongea wakati wa Kikao kazi Cha Kamati ya Afya ya msingi (PHC) kilichofanyika Katika ukumbi wa mikutano wa Mkuu wa Mkoa RC Dkt. Binilith Mahenge amesema wiki mbili kabla ya kuanzishwa Mpango Shirikishi na Harakishi kwa ajili ya utoaji wa chanjo ya Uviko 19 idadi ya watu waliokuwa wakijitokeza kuchanja ilikuwa 5800 mpaka 6000 kwa Halmashauri zote za Mkoa wa Singida kabla ya tarehe 22 septemba mwaka huu.


Dkt.Mahenge amesema Mpango Shirikishi na Harakishi ambao uelimishaji ulikuwa unafanywa nyumba kwa nyumba  ulianza tarehe 22 septemba  2021 Katika Halmashauri zote saba 7 za Mkoa wa Singida ambapo ulisaidia kuongezeka idadi ya watu wanochanja  mpaka kufukia 11,847 ilipofika tarehe 5.10.2021 kwa Mkoa mzima .


Aidha Huduma ya Mkoba na kliniki Tembezi zimesaidia kuwafikia wananchi wengi katika minada mbalimbali mashule na maeneo ambayo hayakuwa na vituo vya kutolea huduma ya chanjo. Alibainisha Dkt. Mahenge.


Hata hivyo Dkt. Mahenge ametumia Kikao hicho kuendelea kuwaomba wadau na taasisi mbalimbali kusaidia upatikanaji wa usafiri wa kuwafikisha watoa huduma ya chanjo vijijini ili kuendeleza kutoa Kinga ya ungonjwa huo .


Amewataka wahudumu wa Afya na watumishi mbalimbali wanaohamasisha jamii kuhusu kuchanja na kuendeleza kufanya hivyo Mara kwa Mara kwa kuwa wananchi  wanakawaida ya kusahau.


Pamoja na.mambo mengine wadau walikuwepo Katika Mkutano huo wamemuomba RC kushirikiana na wadau mbalimbali na mashirika yasiyo ya Kiserikali kuendelea  kusaidia mapambano dhidi ya Ugonjwa huu.


Naye Mganga Mkuu wa Mkoa wa Singida Victorina Ludovick Katika taarifa yake amesema  Kikao kilichopita waliadhimia kuendelea kutoa elimu ya chanjo na namna ya kujikinga na Ugonjwa wa Uviko 19.


Dkt.Ludovicki amebainisha kwamba wataendelea kuwatumia viongozi wa dini na  wanasiasa Katika kupambana na Ugonjwa wa Uviko 19 kwa kuwa imeonekana kukubalika zaidi Katika jamii zinazowazunguka.


Aidha uuzaji holela wa barakoa umeendelea kufanyiwa kazi hasa Katika maeneo ya karibu na hospitali ambapo wapo wanaojaribisha kwa kuvaa barakoa hizo  kabla ya kununua hivyo kuweza kusababisha maambukizi. Alisema Victorina Ludovick.


Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Mkalama  Mhe.Sophia Kizigo amewataka wataalamu hao wa Afya kuongeza jitihada Katika kutoa elimu maeneo ya mijini kwakuwa idadi kubwa ya waliochanja ipo Vijijini na sio mjini.


Hata  hivyo Mhe.Kizigo ametoa wito kwa kila mwananchi aliyepata chanjo kuwa balozi wa kusaidia uhamasishaji kwa wengine.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI KUANZIA TAREHE 09-10-2024 HADI 14-10-2024 October 03, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI KUANZIA TAREHE 09-10-2024 HADI 14-10-2024 October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATUMISHI WA AFYA MKALAMA WAHIMIZWA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI

    April 24, 2025
  • WANAWAKE MKALAMA WAHIMIZWA KUGOMBEA NAFASI ZA UONGOZI

    March 06, 2025
  • DC MACHALI ATOA WITO WATU WA AFYA MKALAMA KUFANYA KAZI KWA BIDII

    February 19, 2025
  • SEMINA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU WILAYANI MKALAMA

    February 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

Taarifa ya fainali kati ya Kisuluiga na Nkungi
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • eMrejesho -Tuma Malalamiko, Maoni au Pongezi
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja

Viungo vinavyohusiana

  • Utumishi
  • Tovuti ya Ikulu
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA MKALAMA, 18 MASAKA RD, 43582

    Anuani ya Posta: P.o. Box 1007

    Simu ya Mezani: 026-2964005

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@mkalamadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 Mkalama DC . All rights reserved.