• Wasiliana nasi
    • Maswali
    • Barua Pepe
    • Malalamiko
Mkalama District Council
Mkalama District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo
      • Usimamizi wa Mazingira
      • Biashara na Fedha
      • Afya
      • Ardhi na Mipango ya Mji
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Miundombinu
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Kisheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi, Ugavi & Vifaa
      • TASAF
      • Biashara
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Kilimo
    • Mfumo wa Taarifa za Shule Tanzania
    • Uvuvi
    • Sekta ya Huduma
    • Ardhi iliyotengwa kwaajili ya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya kwanza
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Utawala na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
      • mwongozo kutoka Tamisemi
      • uongozi ngazi ya vijiji
      • vibali vya ujenzi
      • mfumo wa anwani za makazi
    • Ripoti
      • Taarifa ya CAG 2018
    • Sheria
      • sheria ya fedha
    • mkataba
    • Fomu za Maombi kwa Wateja
      • Leseni ya biashara
      • maombi ya kiwanja
      • leseni za vileo
    • Sera
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
      • Pongezi
      • Matokeo ya Uchaguzi Kinampundu
      • KURUDISHWA KAZINI
      • Juma la elimu
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

REV. KABEA MAKAMU MWENYEKITI MPYA

Imewekwa kwenye: August 2nd, 2023


Baraza la madiwani Wilaya ya Mkalama Leo (Agosti 2, 2023) limemchagua kwa kura zote za ndio Mhe. Emmanuel Kabea kuwa Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama kwa kipindi cha mwaka 2023/2024 ambaye anachukua nafasi ya Mhe. Bosco Samweli ambaye amemaliza muda wake.


Akitangaza matokeo hayo kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama, Afisa Maendeleo ya Jamii Wilaya, Bw. Mohamed Atiki amesema.


"Waheshimiwa Madiwani kwa mamlaka niliyopewa naomba kutangaza matokeo ya Makamu Mwenyekiti kama ifuatavyo, wajumbe waliopiga kura ni 24, Kura zilizoharibika hakuna, Kura za  Hapana hakuna , Kura za ndio ni 24 kwa matokeo hayo naomba kumtangaza  Mhe. Rev. Emmanuel Kabea kuwa ndio Makamu Mwenyekiti mpya wa Halmashauri’’ Alisisitiza Bw. Atiki

Mkuu wa Wilaya ya Mkalama, Mhe. Moses Machali ameshirikia katika zoezi hilo ambapo alimpongeza Makamu Mwenyekiti kwa kuaminiwa na Chama pamoja na Madiwani kupewa nafasi hiyo hivyo kumtaka kuwapa ushirikiano Madiwani, Wakuu wa Idara na Vitengo kwa ajili ya manufaa ya wananchi wa Mkalama.


‘’Mimi nikupongeze kwa kuamini na madiwani, hivyo nakutakia utumishi uliotukuka , wape ushirikiano Madiwani, wape ushirikiano Wakuu wa Idara ili tuweze kusukuma maendeleo ya wananchi na kusomeka vizuri huko Duniani’’ Alisisitiza Mhe. Machali.


Naye Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi( CCM) Bw. Lameck Itungi amewapongeza Madiwani kwa kazi kubwa ya kumchagua Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ambapo amesema wameridhishwa na kazi kubwa wanayofanya madiwani hivyo kuwataka kushirikiana na Makamu Mwenyekiti ili kuweza kuongeza kasi ya utekelezaji wa Miradi ya maendeleo katika Wilaya ya Mkalama.

Makamu Mwenyeki Mhe. Emmanuel Kabea amewashukuru madiwani kumwamini na kumpigia kura zote za ndio ambapo ameahidi kufanya kazi kwa  ushirikiano na kuwalipa uaminifu kwa maslahi mapana ya Wilaya.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI KUANZIA TAREHE 09-10-2024 HADI 14-10-2024 October 03, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI KUANZIA TAREHE 09-10-2024 HADI 14-10-2024 October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATUMISHI WA AFYA MKALAMA WAHIMIZWA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI

    April 24, 2025
  • WANAWAKE MKALAMA WAHIMIZWA KUGOMBEA NAFASI ZA UONGOZI

    March 06, 2025
  • DC MACHALI ATOA WITO WATU WA AFYA MKALAMA KUFANYA KAZI KWA BIDII

    February 19, 2025
  • SEMINA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU WILAYANI MKALAMA

    February 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

Taarifa ya fainali kati ya Kisuluiga na Nkungi
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • eMrejesho -Tuma Malalamiko, Maoni au Pongezi
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja

Viungo vinavyohusiana

  • Utumishi
  • Tovuti ya Ikulu
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA MKALAMA, 18 MASAKA RD, 43582

    Anuani ya Posta: P.o. Box 1007

    Simu ya Mezani: 026-2964005

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@mkalamadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 Mkalama DC . All rights reserved.