• Wasiliana nasi
    • Maswali
    • Barua Pepe
    • Malalamiko
Mkalama District Council
Mkalama District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo
      • Usimamizi wa Mazingira
      • Biashara na Fedha
      • Afya
      • Ardhi na Mipango ya Mji
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Miundombinu
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Kisheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi, Ugavi & Vifaa
      • TASAF
      • Biashara
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Kilimo
    • Mfumo wa Taarifa za Shule Tanzania
    • Uvuvi
    • Sekta ya Huduma
    • Ardhi iliyotengwa kwaajili ya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya kwanza
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Utawala na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
      • mwongozo kutoka Tamisemi
      • uongozi ngazi ya vijiji
      • vibali vya ujenzi
      • mfumo wa anwani za makazi
    • Ripoti
      • Taarifa ya CAG 2018
    • Sheria
      • sheria ya fedha
    • mkataba
    • Fomu za Maombi kwa Wateja
      • Leseni ya biashara
      • maombi ya kiwanja
      • leseni za vileo
    • Sera
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
      • Pongezi
      • Matokeo ya Uchaguzi Kinampundu
      • KURUDISHWA KAZINI
      • Juma la elimu
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Ni marufuku kuchukua chakula shuleni- Masaka

Imewekwa kwenye: February 7th, 2018

‘’Una Chakula kitamu kiasi gani nyumbani kwako mpaka mtoto wako asile na wenzake shuleni?’’

Hilo ni swali lililoulizwa na Mkuu wa Wilaya ya Mkalama Mhe. Mhandisi Jackson Masaka alipoalikwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Mgeni Rasmi kwenye maadhimisho ya miaka 41 tangu kuzaliwa kwa chama hicho yaliyofanyika Kiwilaya katika Kijiji cha Kinyambuli.

Mhe. Masaka amewasisitiza wazazi na walezi wote kuwa Msimamo wa Wilaya ya Mkalama ni watoto wote wapate chakula shuleni kwa sababu Wilaya imedhamiria kupandisha kiwango cha Ufaulu hivyo ni lazima wanafunzi watumie muda mwingi kufundishwa na kusoma shuleni.

‘’Mhe. Rais hajakataza michango shuleni isipokuwa ameondoa jukumu la kukusanya michango hiyo kwa walimu ili wajikite zaidi kutoa taaluma na si vinginevyo hivyo ninaagiza kuanzia sasa ni marufuku kwa mzazi au mlezi kwenda shuleni kudai kurejeshewa chakula alichokuwa ametoa kwa ajili ya mtoto wake”. Amesisitiza Mhe. Masaka.

Katika hatua nyingine Mhe. Masaka amesema kuwa Serikali ya Awamu ya tano imefanya mambo mengi sana na ya Msingi Wilayani Mkalama ikiwa ni pamoja na Ujenzi wa daraja la kisasa la Sibiti linalotarajiwa kukamilishwa hivi karibuni, Ujenzi wa madarasa, bwalo na mabweni katika shule ya Sekondari Iguguno uliyoifanya Shule hiyo kuwa ya kwanza kuwa na wanafunzi wa kidato cha tano na Uboreshaji wa Kituo bora na cha Kisasa cha Kinyambuli.

“Rai yangu kwenu wananchi wa Kinyambuli naomba muwe wazalendo juu ya mradi huu na msiukwamishe kwa namna yoyote kwa sababu pamoja na kuwanufaisha wakazi wote wa Mkalama, nyie mnabaki kuwa wanufaikaji wakuu kutokana na mradi huu kujengwa katika kijiji chenu” Amesisitiza Mhe. Masaka.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI KUANZIA TAREHE 09-10-2024 HADI 14-10-2024 October 03, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI KUANZIA TAREHE 09-10-2024 HADI 14-10-2024 October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATUMISHI WA AFYA MKALAMA WAHIMIZWA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI

    April 24, 2025
  • WANAWAKE MKALAMA WAHIMIZWA KUGOMBEA NAFASI ZA UONGOZI

    March 06, 2025
  • DC MACHALI ATOA WITO WATU WA AFYA MKALAMA KUFANYA KAZI KWA BIDII

    February 19, 2025
  • SEMINA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU WILAYANI MKALAMA

    February 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

Taarifa ya fainali kati ya Kisuluiga na Nkungi
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • eMrejesho -Tuma Malalamiko, Maoni au Pongezi
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja

Viungo vinavyohusiana

  • Utumishi
  • Tovuti ya Ikulu
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA MKALAMA, 18 MASAKA RD, 43582

    Anuani ya Posta: P.o. Box 1007

    Simu ya Mezani: 026-2964005

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@mkalamadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 Mkalama DC . All rights reserved.