• Wasiliana nasi
    • Maswali
    • Barua Pepe
    • Malalamiko
Mkalama District Council
Mkalama District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo
      • Usimamizi wa Mazingira
      • Biashara na Fedha
      • Afya
      • Ardhi na Mipango ya Mji
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Miundombinu
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Kisheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi, Ugavi & Vifaa
      • TASAF
      • Biashara
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Kilimo
    • Mfumo wa Taarifa za Shule Tanzania
    • Uvuvi
    • Sekta ya Huduma
    • Ardhi iliyotengwa kwaajili ya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya kwanza
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Utawala na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
      • mwongozo kutoka Tamisemi
      • uongozi ngazi ya vijiji
      • vibali vya ujenzi
      • mfumo wa anwani za makazi
    • Ripoti
      • Taarifa ya CAG 2018
    • Sheria
      • sheria ya fedha
    • mkataba
    • Fomu za Maombi kwa Wateja
      • Leseni ya biashara
      • maombi ya kiwanja
      • leseni za vileo
    • Sera
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
      • Pongezi
      • Matokeo ya Uchaguzi Kinampundu
      • KURUDISHWA KAZINI
      • Juma la elimu
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Mkalama yasherehekea Siku ya Mkulima

Imewekwa kwenye: April 28th, 2018

Wilaya ya Mkalama leo imefanya sherehe za siku ya Mkulima iliyofanyika katika kijiji cha Kidarafa kwa kuwajengea uwezo wakulima kutambua umuhimu wa kutumia pembejeo bora na za kisasa.

Sherehe hizo zilizofanyika kwa mtindo wa Warsha fupi kwa wakulima juu ya matumizi sahihi ya mbegu na mbolea iliwezeshwa na wasambazaji maarufu wa pembejeo za kilimo wanaojulikana kama “BAYDA AGROVET”  wakishirikiana na Kampuni ya kizalendo ya uuzaji wa mbegu bora na za kisasa, viautilifu na madawa mbalimbali ya mimea inayojulikana kama “Meru Agro tours” yenye makao yake makuu Mkoani Arusha.

Mkuu wa Wilaya ya Mkalama Mhe. Mhandisi Jackson Masaka ambaye pia alikuwa Mgeni rasmi katika sherehe hizo,  alitumia sehemu kubwa ya hotuba yake kuwasisitiza wakulima kutumia vyema elimu waliyopewa  katika warsha hiyo kuhakikisha wanafanya kilimo bora na cha kisasa.

Mbali na msisitizo huo, Mhe. Masaka pia alitumia fursa hiyo kuwatahadharisha wakulima wote Wilayani hapa wahakikishe wanapata pembejeo kwenye maduka rasmi na waombe risiti ya kuthibitisha manunuzi yao.

“Epukeni kununua pembejeo kwenye minada au maduka yasiyo rasmi kwa sababu tutashindwa kumpata muuzaji pindi ikigundulika kuwa bidhaa uliyonunua ni feki” Alisisitiza Mhe. Masaka.

Mpaka sasa kampuni ya “Meru Agro tours”  imefanikiwa  kutoa elimu kwa wakulima kutoka katika kata tano za Mwanga, Nduguti,Ilunda, Nkalankala na Kinampundu.

Mafunzo hayo ambayo yalijumuisha wakulima mmoja mmoja 42 na vikundi 25 vyenye jumla ya wakulima 625 yalienda sambamba na ugawaji wa kilo 133 za mbegu bora za mahindi zenye thamani ya shilingi 798,000, kilo 300 za mbolea aina ya DAP, kilo 300 za mbolea aina ya Urea na kilo 50 za mbolea aina ya Kyno vyote vikigharimu shilingi 648,000 na hivyo kufanya jumla ya mchango uliotolewa na kampuni hiyo Wilayani Mkalama  mpaka sasa kufikia kiasi cha shilingi milioni 1,446,000.

Siku ya Mkulima Wilayani Mkalama huadhimishwa kila mwaka muda mfupi kabla ya kuanza kwa msimu wa mavuno ya mazao mbalimbali.

“

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI KUANZIA TAREHE 09-10-2024 HADI 14-10-2024 October 03, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI KUANZIA TAREHE 09-10-2024 HADI 14-10-2024 October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATUMISHI WA AFYA MKALAMA WAHIMIZWA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI

    April 24, 2025
  • WANAWAKE MKALAMA WAHIMIZWA KUGOMBEA NAFASI ZA UONGOZI

    March 06, 2025
  • DC MACHALI ATOA WITO WATU WA AFYA MKALAMA KUFANYA KAZI KWA BIDII

    February 19, 2025
  • SEMINA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU WILAYANI MKALAMA

    February 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

Taarifa ya fainali kati ya Kisuluiga na Nkungi
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • eMrejesho -Tuma Malalamiko, Maoni au Pongezi
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja

Viungo vinavyohusiana

  • Utumishi
  • Tovuti ya Ikulu
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA MKALAMA, 18 MASAKA RD, 43582

    Anuani ya Posta: P.o. Box 1007

    Simu ya Mezani: 026-2964005

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@mkalamadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 Mkalama DC . All rights reserved.