Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Mohamed Mchengerwa akimkabidhi gari Mkuu wa Wilaya Ya Mkalama, Mhe. Moses Machali kwa ajili ya Usimamizi Shirikishi katika Shughuli za afya.Makabidhiano yamefanyikia katika viwanaj vya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Singida Disemba 13/2023.
MKALAMA DISTRICT COUNCIL
Anuani ya Posta: P.o. Box 1007
Simu ya Mezani: 026-2964005
Simu ya Mkononi: +255 758 954 045
Barua pepe: ded@mkalamadc.go.tz
Copyright ©2018 Mkalama DC . All rights reserved.