• Wasiliana nasi
    • Maswali
    • Barua Pepe
    • Malalamiko
Mkalama District Council
Mkalama District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo
      • Usimamizi wa Mazingira
      • Biashara na Fedha
      • Afya
      • Ardhi na Mipango ya Mji
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Miundombinu
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Kisheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi, Ugavi & Vifaa
      • TASAF
      • Biashara
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Kilimo
    • Mfumo wa Taarifa za Shule Tanzania
    • Uvuvi
    • Sekta ya Huduma
    • Ardhi iliyotengwa kwaajili ya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya kwanza
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Utawala na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
      • mwongozo kutoka Tamisemi
      • uongozi ngazi ya vijiji
      • vibali vya ujenzi
      • mfumo wa anwani za makazi
    • Ripoti
      • Taarifa ya CAG 2018
    • Sheria
      • sheria ya fedha
    • mkataba
    • Fomu za Maombi kwa Wateja
      • Leseni ya biashara
      • maombi ya kiwanja
      • leseni za vileo
    • Sera
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
      • Pongezi
      • Matokeo ya Uchaguzi Kinampundu
      • KURUDISHWA KAZINI
      • Juma la elimu
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

MILIONI 395.5 YATOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU MKALAMA.

Imewekwa kwenye: February 12th, 2025

Mbunge wa Iramba Mashariki Mhe. Francis Mtinga ametoa wito kwa vijana, wanawake na watu wenye ulevamavu wilayani Mkalama kutumia vizuri mikopo wanayopewa kwa kuwekeza katika biashara zenye tija ili waweze kujikwamua kiuchumia pamoja na kurejesha mikopo hiyo kwa wakati.

Wito huo ameutoa Februari 11,2025 wakati wa hafla ya utoaji mikopo kwa vikundi vya Wanawake, Vijana pamoja na Watu wenye Ulemavu iliyofanyika katika ukumbi wa Sheketela wilayani hapa.

“Mikopo hii haina riba na pia mikopo hii si zawadi bali ni mtaji wa kubadili masiha yetu, hivyo twendeni tukasimamie vizuri biashara zetu ili tuweze kupata faida na kuweza kukuza uchumi wetu” Mhe. Mtinga

Aidha Mhe. Mtinga amevitaka vikundi hivyo kuhakikisha vinarejesha mikopo kwa wakati kulingana na taratibu zilizowekwa ili kutoa nafasi kwa watu wengine wenye sifa kunufaika na mikopo hiyo katika awamu nyingine “niwasihi kuwa marejesho ni lazima, tufanye kazi na tukumbuke kurejesha kwa ajili ya wengine wanufaike pia” Mhe. Mtinga.


Awali akizungumza kuhusu mikopo hiyo, Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama Bi. Asia Messos amesema mara baada ya dirisha kufunguliwa, jumla ya vikundi 143 vilituma maombi ambapo vikundi 73 vimefanikiwa kupata mikopo hiyo katika awamu ya kwanza. Vikundi hivyo, Wanawake 51, vijana 19 na Vikundi 3 vya Watu Wenye Ulemavu. “Katika awamu ya kwanza tumetenga milioni 395.5 kwa ajili ya vikundi 73’’ DED Asia


Akizungumza kwa niaba ya wanufaika wa mikopo hiyo, Bi. Joyce Martini, mkazi wa kijiji cha Mazangili, kata ya Nkinto wilayani hapa ameishukuru serikali kwa kuwapatia mikopo hiyo kwani itawasaidia katika biashara yao ya ufungaji Ng’ombe na Kuku.

“Asante kwa Mama Samia kwa kutuona wananchi wa Mkalama hasa kina mama kwani mikopo hii itatuwezesha kuendesha biashara yetu ya ufugaji lakini pia niwakumbushe wanufaika wenzangu kurejesha mikopo hii kwa wakati” Bi. Joyce Martini

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI KUANZIA TAREHE 09-10-2024 HADI 14-10-2024 October 03, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI KUANZIA TAREHE 09-10-2024 HADI 14-10-2024 October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATUMISHI WA AFYA MKALAMA WAHIMIZWA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI

    April 24, 2025
  • WANAWAKE MKALAMA WAHIMIZWA KUGOMBEA NAFASI ZA UONGOZI

    March 06, 2025
  • DC MACHALI ATOA WITO WATU WA AFYA MKALAMA KUFANYA KAZI KWA BIDII

    February 19, 2025
  • SEMINA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU WILAYANI MKALAMA

    February 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

Taarifa ya fainali kati ya Kisuluiga na Nkungi
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • eMrejesho -Tuma Malalamiko, Maoni au Pongezi
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja

Viungo vinavyohusiana

  • Utumishi
  • Tovuti ya Ikulu
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA MKALAMA, 18 MASAKA RD, 43582

    Anuani ya Posta: P.o. Box 1007

    Simu ya Mezani: 026-2964005

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@mkalamadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 Mkalama DC . All rights reserved.