Kikao cha Tathimini ya Mkataba wa Lishe robo ya tatu kimefanyika katika ukumbi wa mikutano uliopo ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Mkalama.
Akizungumza katika kikao hicho, Mkuu wa Wilaya ya Mkalama, Mhe. Moses Machali amempongeza Mkurugenzi pamoja na watumishi kwa kazi nzuri wanayofanya katika usimamizi wa masuala ya lishe wilayani hapa.
Aidha Mhe. Machali amewakumbusha Watendaji Vijiji na Kata kuendelea kuwaelimisha wananchi juu ya umuhimu wa kuweka virutubisho katika chakula katika kuhakisha watoto wanapata lishe bora.
OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA MKALAMA, 18 MASAKA RD, 43582
Anuani ya Posta: P.o. Box 1007
Simu ya Mezani: 026-2964005
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@mkalamadc.go.tz
Copyright ©2018 Mkalama DC . All rights reserved.