Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama imejipanga kuhakikisha kuwa inakomesha magojwa yatokanayo ya uchafu. Katika kuzingalia hilo Halmashauri imeanzisha ujenzi wa kizimba cha taka katika mji mdogo wa Nduguti ili kuhakikisha kuwa wananchi na wafanyabiashara wanapata mahali pa kutunzia takataka kabla ya kwenda kuzihifadhi mahali husika.
Lengo kubwa la kuwa na mradi huu ni kuhakikisha kuwa
MKALAMA DISTRICT COUNCIL
Anuani ya Posta: P.o. Box 1007
Simu ya Mezani: 026-2964005
Simu ya Mkononi: +255 717 022 718
Barua pepe: ded@mkalamadc.go.tz
Copyright ©2018 Mkalama DC . All rights reserved.