Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwezi huu imefanikiwa kulipa madeni ya mishahara ya watumishi 34 wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama ambapo katika awamu hii ya kwanza Jumla ya fedha yote iliyolipwa kwa watumishi hao ni shilingi milioni 104,118,800.00. Ili uweze kusoma na kupakua majina ya watumishi hao watakaolipwa tafadhali BONYEZA HAPA
OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA MKALAMA, 18 MASAKA RD, 43582
Anuani ya Posta: P.o. Box 1007
Simu ya Mezani: 026-2964005
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@mkalamadc.go.tz
Copyright ©2018 Mkalama DC . All rights reserved.