• Wasiliana nasi
    • Maswali
    • Barua Pepe
    • Malalamiko
Mkalama District Council
Mkalama District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo
      • Usimamizi wa Mazingira
      • Biashara na Fedha
      • Afya
      • Ardhi na Mipango ya Mji
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Miundombinu
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Kisheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi, Ugavi & Vifaa
      • TASAF
      • Biashara
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Kilimo
    • Mfumo wa Taarifa za Shule Tanzania
    • Uvuvi
    • Sekta ya Huduma
    • Ardhi iliyotengwa kwaajili ya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya kwanza
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Utawala na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
      • mwongozo kutoka Tamisemi
      • uongozi ngazi ya vijiji
      • vibali vya ujenzi
      • mfumo wa anwani za makazi
    • Ripoti
      • Taarifa ya CAG 2018
    • Sheria
      • sheria ya fedha
    • mkataba
    • Fomu za Maombi kwa Wateja
      • Leseni ya biashara
      • maombi ya kiwanja
      • leseni za vileo
    • Sera
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
      • Pongezi
      • Matokeo ya Uchaguzi Kinampundu
      • KURUDISHWA KAZINI
      • Juma la elimu
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

HOSPITAL YA WILAYA YA MKALAMA RASMI YAFANYA UPASUAJI KWA MARA YA KWANZA

Imewekwa kwenye: January 15th, 2023


Mganga Mkuu wa  Mkoa Singida, Dr. Victoria Ludovick  amewapongeza  Watumishi  wa Hospitali ya Wilaya ya Mkalama kufanikisha  zoezi la Upasuaji (Cesarean Section ).


Ametoa pongezi hizo tarehe 14/01/2023 alipo mtembelea Bi.Mwamwini Thabiti aliyofanyiwa upasuaji katika Hospitali ya Wilaya ya Mkalama.


‘’Nimekuja kumuona mgonjwa aliyejifungua kwa njia ya upasuaji   katika Hospitali ya Wilaya ya Mkalama, ni mgonjwa wa kwanza kufanyiwa upasuaji hospitalini hapa na upasuaji ulianza rasmi tarehe 13/01/2023 nichukue fursa hii kuipongeza sana Timu ya Wilaya ya Mkalama kwa juhudi walizozifanya kwa kuhakikisha vifaa vilivyokuja vinaanza rasmi kutumika’’ Aliongeza Dr. Ludovic.


Aidha, ameendelea kuwatia moyo Watumishi wa Sekta ya Afya Wilayani hapa kuendelea na moyo wa  kuwahudumia Wananchi kwani Sekta ya Afya imebeba uhai wa watu,ili waendelee kuwa na afya bora na wanaoweza  kujiendeleza katika shughuli za kijamii.


Katika hatua nyingine aliishukuru Serikali ya awamu ya sita kwa kuwekeza katika Sekta ya Afya kwa kutoa vifaa tiba pamoja na Watumishi ili kuboresha huduma ya afya Wilayani hapa na kuaihidi kuunga mkono juhudu hizo.


Naye Bi.Mwamini Thabiti alionesha furaha yake alipofanya mhojiano na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini cha Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama alisema upatikanaji wa huduma hiyo utarahisisha huduma kwani walikuwa wanatembea umbali mrefu kufuata huduma ya afya katika Kituo cha Afya cha Kinyambuli.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI KUANZIA TAREHE 09-10-2024 HADI 14-10-2024 October 03, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI KUANZIA TAREHE 09-10-2024 HADI 14-10-2024 October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • SERIKALI YAKABIDHI KADI ZA MATIBABU BURE KWA WAZEE MKALAMA

    June 15, 2025
  • SIKU YA MTOTO WA AFRIKA WILAYANI MKALAMA

    June 16, 2025
  • Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mkalama Apongeza Ujenzi wa Zahanati ya Nkenke

    June 13, 2025
  • ZIARA YA KAMATI YA SIASA MKOA WA SINGIDA

    June 11, 2025
  • Tazama Zote

Video

Taarifa ya fainali kati ya Kisuluiga na Nkungi
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • eMrejesho -Tuma Malalamiko, Maoni au Pongezi
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja

Viungo vinavyohusiana

  • Utumishi
  • Tovuti ya Ikulu
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA MKALAMA, 18 MASAKA RD, 43582

    Anuani ya Posta: P.o. Box 1007

    Simu ya Mezani: 026-2964005

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@mkalamadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 Mkalama DC . All rights reserved.