• Wasiliana nasi
    • Maswali
    • Barua Pepe
    • Malalamiko
Mkalama District Council
Mkalama District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo
      • Usimamizi wa Mazingira
      • Biashara na Fedha
      • Afya
      • Ardhi na Mipango ya Mji
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Miundombinu
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Kisheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi, Ugavi & Vifaa
      • TASAF
      • Biashara
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Kilimo
    • Mfumo wa Taarifa za Shule Tanzania
    • Uvuvi
    • Sekta ya Huduma
    • Ardhi iliyotengwa kwaajili ya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya kwanza
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Utawala na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
      • mwongozo kutoka Tamisemi
      • uongozi ngazi ya vijiji
      • vibali vya ujenzi
      • mfumo wa anwani za makazi
    • Ripoti
      • Taarifa ya CAG 2018
    • Sheria
      • sheria ya fedha
    • mkataba
    • Fomu za Maombi kwa Wateja
      • Leseni ya biashara
      • maombi ya kiwanja
      • leseni za vileo
    • Sera
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
      • Pongezi
      • Matokeo ya Uchaguzi Kinampundu
      • KURUDISHWA KAZINI
      • Juma la elimu
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Hongereni Mkalama- Nchimbi

Imewekwa kwenye: August 2nd, 2017

Pongezi kubwa zimetolewa kwa Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama kufuatia kupata hati safi kwa mujibu wa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha 2016/2017.

Pongezi hizo zimetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe: Rehema Nchimbi wakati wa kikao cha kujadili hoja mbalimbali zilizoainishwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za serikali kilichojumuisha Mkuu wa Wilaya hiyo, madiwani wote wa Halmashauri ya Wilaya, Mkurugenzi wa Halmashauri na Wataalam wa idara mbalimbali katika Wilaya hiyo.

“Sina wasiwasi na Wilaya ya Mkalama kwa sababu inaongozwa na Wahandisi katika nafasi za Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya na ndio maana kazi zote zilizofanyika katika Wilaya hii zimefanyika kitaalam” Alisema Mhe: Nchimbi.

Mhe: Nchimbi alisema kuwa jambo hilo limeifanya halmashauri ya Wilaya ya Mkalama kuwa na sifa ya kipekee ukilinganisha na Wilaya nyingine kwa sababu changamoto inayoyakabili maeneo mengi ni ukosefu wa wahandisi hali inayosababisha kila mradi kutotekelezwa kitaalam.

“BOQ ya mwanzo ya jengo hili haikuwa na sura nzuri lakini Mkurugenzi na Mkuu wa Wilaya waliweka taaluma zao hapa tena bila kulipwa na kutengeneza BOQ ambayo imelifanya jengo hili kuwa la mfano katika Ofisi zilizojengwa kwa fedha ya serikali” Aliongezea Mhe: Nchimbi.

Katika hatua nyingine Mhe: Nchimbi ameagiza kukarabatiwa kwa boma la Mkalama lililokuwa likitumiwa na Serikali ya Ujerumani wakati wa Ukoloni na hatimaye liweze kutumika kama chanzo cha mapato ya Halmashauri.

“ Naomba Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi na Wataalam wako mkishirikiana na Wizara ya Maliasili na Utalii na wadau mbalimbali  mkae chini na mniletee andiko litakaloonesha ni jinsi gani mnaweza kulifanya boma hili kuwa chanzo cha mapato ya Halmashauri ya Wilaya na andiko hilo nilipate  Agosti 28 mwaka huu” Alimalizia Mhe: Nchimbi.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI KUANZIA TAREHE 09-10-2024 HADI 14-10-2024 October 03, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI KUANZIA TAREHE 09-10-2024 HADI 14-10-2024 October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATUMISHI WA AFYA MKALAMA WAHIMIZWA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI

    April 24, 2025
  • WANAWAKE MKALAMA WAHIMIZWA KUGOMBEA NAFASI ZA UONGOZI

    March 06, 2025
  • DC MACHALI ATOA WITO WATU WA AFYA MKALAMA KUFANYA KAZI KWA BIDII

    February 19, 2025
  • SEMINA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU WILAYANI MKALAMA

    February 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

Taarifa ya fainali kati ya Kisuluiga na Nkungi
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • eMrejesho -Tuma Malalamiko, Maoni au Pongezi
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja

Viungo vinavyohusiana

  • Utumishi
  • Tovuti ya Ikulu
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA MKALAMA, 18 MASAKA RD, 43582

    Anuani ya Posta: P.o. Box 1007

    Simu ya Mezani: 026-2964005

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@mkalamadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 Mkalama DC . All rights reserved.