1.0 UTANGULIZI.
Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama ilianzishwa rasmi kwa Tangazo la serikali Na.446/2013(GN No.446 of 2013) tarehe 1.7.2013.
Idara ya Mipango,Takwimu na ufuatiliaji ni moja kati ya Idara zake za kuwezesha utoaji wa huduma za kiuchumi na kijamii kwa wananchi ili kupunguza na hatimaye kuondoa kero za wananchi. Ili kuweza kupata taarifa zaidi kuhusu idara hii tafadhali bonyeza hapa
MKALAMA DISTRICT COUNCIL
Anuani ya Posta: P.o. Box 1007
Simu ya Mezani: 026-2964005
Simu ya Mkononi: +255 758 954 045
Barua pepe: ded@mkalamadc.go.tz
Copyright ©2018 Mkalama DC . All rights reserved.