Imewekwa kwenye: January 11th, 2024
Walimu wametakiwa kusikiliza kwa makini na kujifunza namna mtaala mpya utakavyoenda kufanya kazi ili kuwasaidia kuendana na ,mabadiliko ya mtaala huo utakaoanza kutumika mwaka huu kwa madarasa y...
Imewekwa kwenye: January 9th, 2024
Mkuu wa mkoa wa Singida Mhe. Peter Serukamba ametoa agizo kwa maafisa ugani na maafisa elimu Kata Wilayani Mkalama kukaa katika maeneo yao ya kazi ili kuongeza ufanisi katika kazi zao.
...
Imewekwa kwenye: January 8th, 2024
Maafisa elimu Sekondari Wilaya ya Mkalama leo Januari 08, 2024 wametembelea shule baadhi ya Shule za Sekondari Wilayani hapa ili kujionea hali ya uandikishwaji ya wanafunzi wa kidato cha kwan...