Mkuu wa wilaya ya Mkalama Mhe.Sophia Kizigo akutana na kufanya kikao kazi na wakuu wa idara ,viengo na taasisi kujadili mipango mikakati na majukumu ya utekelezaji ya mwaka 2020/2021
pamoja na mikakati iliyopangwa ya utekelezaji ya mwaka 2021/2022.
MKALAMA DISTRICT COUNCIL
Anuani ya Posta: P.o. Box 1007
Simu ya Mezani: 026-2964005
Simu ya Mkononi: +255 758 954 045
Barua pepe: ded@mkalamadc.go.tz
Copyright ©2018 Mkalama DC . All rights reserved.