Utangulizi
Idara ya Utawala na Utumishi idara inayoshughulikia masuala yote ya Utawala na Kiutumishi katika kuhakikisha watumishi wa Halmashauri ya Wilaya wanakuwa na ari ya kufanya kazi na kutoa huduma kwa wananchi wa Wilaya ya Mkalama. Ili uweze kupata taarifa zaidi kuhusu idara hii tafadhali bonyeza hapa
MKALAMA DISTRICT COUNCIL
Anuani ya Posta: P.o. Box 1007
Simu ya Mezani: 026-2964005
Simu ya Mkononi: +255 758 954 045
Barua pepe: ded@mkalamadc.go.tz
Copyright ©2018 Mkalama DC . All rights reserved.